mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,193
Hahahah yani hii ni kweli kabisa
Hahahahahaha kama nakuona unavyomuona malkia sasaOk daa Mimi mwenyewe kuna sehemu nimekolea mpaka najishangaa,miaka 12 iliyopita nilikuwa karibu naye sana na hakuwa kunivutia hata siku moja na hata waliokuwa wakitoka naye nilikuwa nawashangaa Sana,lakini Leo nimenasa mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata watu wake wa zamani wakipita maeneo anayofanyia kazi inakuwa shida,halafu sura mbovu yaani huwezi amini,nampenda akiwa U.C.H.I tu
Haters will say its photoshop ha ha!!!Aisee!baada ya kusoma nikagundua kila ulichoongea humu ni kweli except kwangu ni vice versa yani hayo yote yanafanywa na mwanaume kwangu na sio mimi kufanya hayo
Kwenye ubora wakoHakuna penzi tamu kama lile mkute wote mmechizika mkachizika
Super hero daddy
Pole sana msituroge jaribu kuangalia tunataka nini [emoji23],
Hahaha hahaha
Hongera sana umepatikanaaa, sasa ni kumpenda tu hakuna namna.Ok daa Mimi mwenyewe kuna sehemu nimekolea mpaka najishangaa,miaka 12 iliyopita nilikuwa karibu naye sana na hakuwa kunivutia hata siku moja na hata waliokuwa wakitoka naye nilikuwa nawashangaa Sana,lakini Leo nimenasa mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka kuheshimiwa ndiyo mkiheshimiwa mnatuona mabwege sa tufanyeje ni Bora tuwalishe shutamaPole sana msituroge jaribu kuangalia tunataka nini [emoji23],
Super hero daddy
Unajua utaroga huku expire date inakungoja, au utakua unaroga tu kila baada ya akili zake zikimrudi....Mnataka kuheshimiwa ndiyo mkiheshimiwa mnatuona mabwege sa tufanyeje ni Bora tuwalishe shutama
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda vizuri sanaHahaha hahaha
Mie nikipenda nasahau yoote...
Kabisaaa...Unapenda vizuri sana
Super hero daddy