Wadada wote ni "mabwege" wakishalewa mapenzi

Wadada wote ni "mabwege" wakishalewa mapenzi

ah wapi!sie wadada tunapenda huku akili zetu zikiwa active 24/7 mtoa mada anazungumzia maybe wale watoto wa primary ila mimi na utu uzima wangu hiko kilichozungumzwa ni ubatili mtupu
Kila mwanamke anaendewa kulingana na age yake na anakaa vizuri tu, hujakutana na mwenye talanta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom