Wadada wote ni "mabwege" wakishalewa mapenzi

Naona kama vile umeingia akilini mwangu. Kama kweli ww mwanaume rijali utakuwa ushawahi xperience hiki kitu at some point.

Mm hamna ex asiyenikumbukaga, na hawana say kabisa juu yangu, nawaendesha km maroboti, laiti ningekuwa playboy ningekuwa na chain ndefu sana.

Ex wangu wa kwanza kabisa aliwahi nambia nenda kawatoboe toboe huko chuo, kipindi hiko ndo naenda first year, sikumuelewa ila nikaja nikamuelewa badae sana.

Kuna mke wa mtu mwenye watoto wanne alikuwa anafunga safari toka Mbeya mpk Dar kila mwezi. Mpk akagombana na my main chick, akaenda mbali akaiba namba akamwaga ugali na mboga zake kabisa.

All in all tukumbuke UKIMWI upo na unaua.

Haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom