Mimi binafsi sizungumzii na wengine huwa sipendi mwanamke anapokua na Kitambi.
Halafu kitu ambacho nimegundua kwa jinsia zote kuota kitambi ni hali ya mwili kutokua na mazoezi jirekebisheni mwanamke kuwa na mtumbo huo mpaka kitovu kinataka kupasuka.
Kwanini usijirekebishe na Ulaji wako siyo kisa umeolewa ni kushindilia maviporo tuu kutwa nzima i like wanawake wenye tumbo dogo tuu siyo mzigo.