Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,263
- 3,581
Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana.
Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa.
Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri ya wadada wenye usikivu hafifu...
Nilonja kitu ambacho sikuwahi pata kwa mwanamke yeyote yaani wapo hot kinoma noma....
Nimeamua kuwaoa wote wawili na kamwe sirudi tena kwa hao wenye usikivu kamili maana hao wanadharau halafu hawajui mahaba kabisa..
My brothers ikiwa unataka uenjoy mahaba halisi basi tafuta mdada mwenye usikivu hafifu utakuja kunishukuru..