Wadada wenye 30+ wanatia huruma

This is not fair....waacheni kama ny8byi hawawafai
 
Duh
 
Aaah hahaha. Kuna ukwel flan. But me NDO NAWAPENDA HAO. And soon i will need 1 to marry
 
Jamani ni kweli inaweza ikawa ila si vyema kuwazungumzia hivi kwan sio wote walikuaga wakiringa wengne ndio mipngo ya mungu
 
Tangia nilipojua tofauti ya wasichana wadogo na hao unaowaita 30+,
Siwezi na sitakuja kuoa Mtoto mdogo.
Nitaoa Mkubwa au single mama.
Vibinti vidogo hivi vinasumbua mno kuliko ufikiriavyo.
Badili mtazamo wako mtoa mada
Mtu Mzima Ukiwa Nae Nzur Sana Kwanza Anakuwa ametulia Na Kujieshim Mawazo Yake Mengi Ni maendeleo Sio Utumiaji Wa Pesa Ovyo Ovyo Pasipo Kuwa Na Sababu

Ivi Vitoto Ni Vikolofi Sana Aithee Visumbufu Balaaa Mbaya Zaid Vinaishi Maisha Ya Kideo
 
Mtu Mzima Ukiwa Nae Nzur Sana Kwanza Anakuwa ametulia Na Kujieshim Mawazo Yake Mengi Ni maendeleo Sio Utumiaji Wa Pesa Ovyo Ovyo Pasipo Kuwa Na Sababu

Ivi Vitoto Ni Vikolofi Sana Aithee Visumbufu Balaaa Mbaya Zaid Vinaishi Maisha Ya Kideo
Kweli kabisa
 
Umeshindwa kuendelea ukiwa peke yako unataka kutoka kupitia mwanamke?

Siyo kwamba akili zimekuwa za kiutu uzima. K imeanza Luganda na kutoa unga badala va ute wa kulainisha njia
wa peke yako unataka kutoka kupita mwanamke?
Kwa hiyo mkuu Sexless kwa point yako ni kwamba hata ukioa mwenye 18+ akifika 30 tu unampiga chini kwa sababu anatoa unga right????? unachukua mwenye kutoa ute sio???? na shida yako kubwa ni ute right????
 
Mkuu Sexless naomba utemee mate chini na pia ukumbuke kuwa usitukane mamba kabla hujavuka mto

Kama kweli wewe ni kijana unayeplan kuwa mzazi mzuri mwenye kupenda watoto wako hapo baadae naomba uyatunze haya maneno yako kisha pata binti afikishe miaka 30+ hajaolewa afu uje hapa uyaseme tena utambe kuwa binti yako anatumika huku anayemtumia ana under 20 anayeplan kumwoa anampotezea tu muda binti yako

Mkuu kuna mambo sio ya kujitapa na kuyatamka kwa sauti ilhali uko hai chini ya dunia hii,binafsi nimesikitishwa sana na maneno yako na namna ulivyoufikisha ujumbe wako,jiangalie sana mkuu.
 
we ni malaika wa kiume sawa mkuu
 
Vibinti vidogo hivi vinasumbua mno kuliko ufikiriavyo.
Shishi bebi ni binti mdogo?
Ufoo Saro ni binti mdogo?
Madam Flora ni binti mdogo?

NB. Usumbufu ni hulka ya MTU. Unaweza ukaoa 30+ akakusumbua na wakati hata kitandani unapata kiporo. Bora usumbuliwe na mtoto lkn kitqndani anakupatia mambo safi.
 
Kwa hiyo mkuu Sexless kwa point yako ni kwamba hata ukioa mwenye 18+ akifika 30 tu unampiga chini kwa sababu anatoa unga right???
Oa MTU utakayemtumia kwa muda kabla ya kukaukiwa ute. Ndipo uanze kuvumilia shida, siyo uanze na shida
 
Oa MTU utakayemtumia kwa muda kabla ya kukaukiwa ute. Ndipo uanze kuvumilia shida, siyo uanze na shida
Kama ndo hivyo kinachokufanya uhangaike na hao 30's ni nini??

Kwa nini uwapotezee muda wao??

Unadhani walipenda kufika hapo bila kuolewa??

Unadhani wewe au kizazi chako au wanawake fulani wanaokuhusu na unaowajali na kuwathamini hayawezi kuyakuta hayo ya kufika 30 na hawajaolewa na kuwa wanachezewa na vijana wachafuzi kama wewe????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…