Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Kuwachezea muwachezee halafu baadae mnaanza kuwachukia nyinyi haohao!






Nyinyi ndo karma huwa inawapenda sana! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Yaan amezidi 30 afu anabana mzigo??atapata wapi sasa mtu anaejivisha bomu kuoa mtu above 30 bila kupima kama yaliyomo yamo.
 
Sio kila mwanaume anataka mke mtafuta hela.Na hapo ndio mnapokosea
 
Msameheni bure huyu mtoto, akikua ataacha ujinga wa kudharau watu kwa kigezo xha umri! Watu dizaini hii utakuta bado anakula kwa shikamoo! Pole yake na maisha hayajui bado!
 
Aliekwambia wanashida ya ndoa in nani Lisa ulimpata Huyo chiep basis umeconclude wote wapo hivyo shubamit
 
Ni Uzi mzuri lakini hautapendwa na wengi humu,jiandae kwa mipasho [emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]
 
Wameshatoa mimba nyingine sana??? Wewe umeshirikiana nao kutoa ngapi??
 
Nina Dada Angu Ameolewa ana Miaka 39 Na Jamaa Fran Iv yeye Jamaa anagonga 42 Wote Hawana Watoto Bt Mwaka Juz Mungu Ameeabarid Wamepata Mtt Wa Kiume Na Maisha Yanaenda

NB:

Ndoa Sio Kitu Cha Kukimbilia Bhana
 
Tangia nilipojua tofauti ya wasichana wadogo na hao unaowaita 30+,
Siwezi na sitakuja kuoa Mtoto mdogo.
Nitaoa Mkubwa au single mama.
Vibinti vidogo hivi vinasumbua mno kuliko ufikiriavyo.
Badili mtazamo wako mtoa mada
 
Hivi uwoya anamiaka mingapi na dogo janja anamiaka mingapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…