Wadada wenye 30+ wanatia huruma

Aisee kweli
 
Yaani mkuu, wako desperate kuolewa basi wanajirahisi balaa. Wanaume wanaitumia fursa hii vizuri. Wanakula mzigo, wanawadekisha, wanawapa nguo wafue, wanawapika halafu wakiwachoka kuwatumia wanawazingua
Mbaya sana
 
Mada zenye chuki na maudhi ya bullying zinaonyesha wewe ni mtu wa namna gani katika jamii.

Japo mi mwanaume kama wewe lakini moyo wangu wakataa na kupinga kabisa haya mawazo ya kizinzi.

Mungu aliyewaumba anawapenda kuliko wewe unayewachezea. Mwisho wa siku utaoza tu kama wote waliopita kama wewe.
 
Jamani wanaume tupunguze kuwaponda dada zetu khaaa kaolewa sio lazima bwana mungu hajaumba kila mtu aolewe wengine wameolewa ila mambo magum mimi mama yangu hajawai olewa maishani ila ana furaha isiyo na kifani
Dah kumbe unajisifia kuwa mtoto wa zinaa? Hahaha what's a nonsense
 
Umewaza zaidi ya kuwaza!
 
baadhi ya dada zetu wanakosea kufanya uamuzi mapema kumjua muonjaji na mlaji. unakuta mtu hadi anafikisha miaka 30 anadanganywa na waonjaji tu anaingia kingi. nawashauri wawe wanafanya maamuzi sa hihi ukiwa na mtu ukajua ni muonjaji sio mlaji wakatae mapema mbona walaji wapo wawe na sbr
 
Mkuu umewakosea waombe radhi ingawa ukweli upo humohumo ila sio vizuri unamaanisha umri wa kuolewa walikuwa wanalinga hata ukawapita duuu
Walipishana na wanaume kwa kuwalingia tu wakidhani muda unasimama.
Kushangaa mashavu yalishaota makovu waliowakataa wako na ingizo jipya la under twenty.
 
Tuache bwana we atujaombwa kutuoa tutaolewa tu
 
Ha ha anyways...
Mbona ndoa nyingi watu wanaolewa at that age?msiwatishie bana ndoa majaliwa
 
Ina maana somo wameelewa? mbona wapo kimya au povu limeishaa!

kwikwikwikwi nacheka kwa sauti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…