Wadada wengi hawajisafishi

Wadada wengi hawajisafishi

Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”

Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”

Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.

Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Duu nyie huko kuchimba chimba migodi,mingine mtatitimia humohumo mtazikwa humohumo ama kukatwakatwa na ncha Kali iliyojificha huko
 
Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”

Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”

Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.

Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Mchafu analalamikia uchafu na hataki kuacha uchafu
 
Jamaa yako anaongelea utoko.huo humtoka mwanamke yeyote na sio ugonjwa.na hii huwatokea ambao hawafanyi mapenzi Kwa mda mrefu.
Viko kama vichembechembe vya mtindi havina harufu mbaya.ni asili ya uke.
Kuna wakati wanawake hukumbana navyo kama mabadiliko mwilini ndiposa hutakuwa kujisafisha na kidole kupunguza.
Na Kuna wakati huuoni kabisa ila ukifanya mapenzi unaanza kutoka japo kidogo sana.hiyo ni dalili huyo hajafanya Kwa mda mrefu.
Na Kuna hao Sasa unaowatokaa Kwa awamu Fulani Kwa wingi wasipojisafisha wakikutana na mwanaume anaweza ingiza akitoa mashine inakuwa nyeupee kama imepakwa maziwa ya mtindi.sio sawa.
Na Kuna wengine ni wagonjwa mfano candidiasis,maambukizi mengineyo.hawa huwa baadhi Wana harufu pia kuwashwa.

Wanaume mna safari ndefu kuwaelewa wanawake!
Huyo kaamua kuchoza tu wala siyo kwamba hajui.
Mimi hata kabla sijaoa yaani nikiwa mvulana hayo nilikuwa hata sishangai.
 
Hakika tumuache muumbaji wa vyote, but huwa nafikiria sometimes aliwaza nini kuweka hivi why not vile , ila naishia kusema vyote ni kwa utukufu wake. Let's enjoy
Kwa maoni yako ilitakiwa iweje kwani?

Kama wewe ungeipewa hiyo kazi ungeboreshaje
 
Back
Top Bottom