Wadada warembo, mambo safi wa mjini Dar

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Kwa kweli Bongo hawa wako juu si mchezo kwa kila kitu (urembo, kazi/biashara nzuri, maisha safi, kuenjoy, na waume/wapenzi decent, hongera zenu warembo...




NB: Makamba kwa kweli umetoa kitu si mchezo basi tu nitaishia kula kwa macho mzee wangu wa CCM...


 

Attachments

  • DSC_1358.JPG
    187.4 KB · Views: 2,391
  • DSC_1272.JPG
    140.2 KB · Views: 2,451
  • DSC_1341.JPG
    150 KB · Views: 2,201
  • DSC_1373.JPG
    149.7 KB · Views: 2,164
  • DSC_1323.JPG
    142.8 KB · Views: 2,467
Acha upuuz wako,wa wapi wewe?mada yako ni non sense
 
hamna kitu hapo njoo mtaani kwetu sinza uone vitu
 
Acha upuuz wako,wa wapi wewe?mada yako ni non sens
 
kulikuwa na audition ya horror movie nini? khaaa!
 
Mambo ya watoto wa kinyamwezi hayo muulize mdau Sikonge akuhabarishe kuna totoz za kiarabu-kishombe pale Mabama balaa zina mwanya kama huo

Sasa huyu Sikonge mbona anaficha hizi taarifa adimu ?
 
I reserve ma comment<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
 
bora umesema,ningesema mimi wangesema wivu....hamna lolote....yule Jennifer sawa....hawa wa leo...opppppssssssssss
acha tuuchune tu. tukiendelea kuwadiscuss sana tunaweza tukamkosea mungu. maana kupitia picha hizi nahisi darwin alikuwa right kuhisi kwamba kuna connection baina ya binadam na gorilla.
 
mbona hawa ni machangu tu wa hapa mujini??
nenda level 8 usiku wa manane - woote hawa utawakuta na kujitwalia kwa nafasi!!
 
Nimejitahidi kuzuia comment zangu ila ya miguu mibaya imeshindikana.... miguu utafikiri spoku za 'baskweli' :A S 13:
 
wote Wamekosa usafiri. wanatembelea mikono.
 
We El Toro acha kuwananga watoto wa watu.....wamekukosea nn kuwa-expose kiasi hiki na kuwa-tag na sifa zisizo za kwao? Labda kama kipato ndio urembo wao nakubaliana na wewe. Au una agenda yako ya siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…