Wadada wapumzisheni kaka zetu

Wadada wapumzisheni kaka zetu

Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake


Daah,uzuri wa dunia huwa ina gusa kote.

Subiri na wewe uwe wifi kwa kaka wa watu,usianze kuwaletea ngendembwe wifi zako.
 
Wanakera kinyau yani


Ninae mmoja na mama yake walinitambia eti mwanae/ kakake anaweza kuleta mwanamke mwingine muda wowote kama mke endapo akitaka, niwepo au nisiwepo lakini hawezi mleta mwanamke yeyote na kumfanya dada au mama

Wao ni ndugu wasio na vizingiti

Niliwajibu hivi, "mmeusema ukweli kabisa lakini kile nachompa atakipata kwingineko lakini nyie hamuwezi katu kumpa mpk kufa kwenu"

Tukaumaliza mzozo, mpaka leo hali shwari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mawifi kwa wivu na gubu!![emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pia utakuwa mke wa mtu! Uwapumzishe haaooo wakuitwa wifi!
 
Back
Top Bottom