Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Doh
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Nimpumzishe halafu wewe utachukua nafasi yangu?
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Nimpumzishe halafu wewe utachukua nafasi yangu?
Dah wanawake kabla hujaolewa unakua kondoo ukiolewa unakua chui,mnatupa shida sisi mawifi roho inauma ila tukiaema mnasema si wakorofi....wakaka kuweni makini na wanawake mnaochagua kuwa wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi nae ni mke wa mtu na ni wifi kwa dada wa mume wake!!
Kwa hiyo na wewe kwa mawifi zako ni kichomi?
Jifunzeni kufata yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida yenu wanawake huwa hampendani, ni hii inatokana na mwanamke akiolewa anataka kuimiki nyumba ili hali ndugu haswa mawifi mnataka kummiliki mke wa kaka yenu. hiyo ni nature vumilia tu na wewe kuna siku utakuwa wifi na utalaumiwa.
Inawezekana ila kwenye ukweli lazima usemwe huwezi fumbia macho kwa kuhofia kuwa ni wifi utachukuliwa vby