hahahahah aisee, mimi mwanamke jamani ndio maana kweli niliweka uzi maana wengi walikuwa wanaingia inbox kuniulizia kuwa mimi ni jinsi ipi. Ahsante Castr kwa kunisaidia kuliweka wazi
nakukana wapi ww hufahamiani na member yoyote humu, na kuna sehemu unaandika kiume kabisa kwanini tusiwe na mashaka? hapo naona avatar nzuri, jina zuri navutiwa kuchat na ww kumbe dume, yafaa nini sasa
Kweli mapenzi yana nguvu, ukasahau siasa kabisaaa.
Mie alikuwaga ananikosha lara 1 na mada zake na alivyokuwa anapangua comments, ndio alinivutia kujiunga humu.