Hahahahahahah kwanza bora muamini ni kidume ili usumbufu uishe aiseeee maana khaaaaa mpaka wifey imebidi afunge PM
Hahahhah wacha nisiongee sana, but subirini siku nikija kuwataarifu Mungu ametujaalia kumpata The Bold Jr ndio mtaelewa kuwa huwa "nathibitisha" jinsia yake nitakavyo..