Mie niliufahamu kwasababu ya rafiki yangu mmoja hv, yaani alikuwa adicted na jf, hadi saa8 usiku yupo humu alafu anacheka tu mwenyewe, ndio kumuuliza akaniambia kuna mtandao unaitwa jf, nikamuuliza ni kama fb(as haukuwahi kunivutia) acha aumwagie sifa, ndio nikavutika kujiunga hadi leo.