truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti.
Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.
Ngoja sie 'size ya kati' tuendelee kuangalia mpambano kati ya tolu na shoti...
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti.
Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.
Tabia zetu ni wapole na hatuna maneno mingi ila ni wacheshi tatizo la hao jamaa wakimo cha kiberiti hawajiamini na ndio mana wanaongea sanaaaa viandunje ni janga.
mkuu thanks for this "break the bank" opinion about tall men.never knew we're this magnetic to most women.
asante mungu kwa kuniumba mwanaume mrefu.5.6 si haba,nina haki ya kujisikia.lol
futi sita umezifikia au unajipa promo la u tall
eeeeee eti nawe mrefu????
5'6? Please! Kama wewe ni mpenzi wa mpira Messi ni 5'6 na dunia inamuita andunje.
mbona mie ni mrefu na huwa silingi ? sina makuu na wala sina dharau
Mi mwanaume mfupi !
Nawee nawe! Yes nini sasa?
Wafupi wabishi sana, afu wanagubuuuuu!
Tolu hoyeee?
oooh kumbeee!!!.ndio mana.
basi sawa tuendelee mkuu.lol
basi labda nimekosea vipimo.?acha ni sort upya.unajua tena akili za asubuhi.
hivi urefu wenye uzuri na kupendeza ni size gani?
mimi nina 1.9 m mpaka sasa...
Unaona umeanza kuonyesha vitabia vya ufupi hata kwenye post yangu umekata maneno lol! Wanchekesha!!!
Wanaume warefu wanaringa sana wachoyo malaya aiii
hahaha.nyinyi watu wabishi sana.kuna wanaodai eti mlivumbua ngazi.