Wadada , Wamama mara ya mwisho lini....?

Wadada , Wamama mara ya mwisho lini....?

Haya mambo ya makawa naona kwenye picha tu siku hizi, maaana ni longitaimu kweli
 
Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli
 
Yaani hata mama yangu sijaona akitumia hiyo kitu; actually hatujawahi kuwa nayo home, when l was growing up!
 
Yaani ukiifunua hiyo KAWA unakutana na kitu cha BONDO limekakamaa kama ngozi ya goti, halafu maji ya kunawa yapo kwenye kisufuria flani chini ya stuli

Watoto wa mbwa utawajua tu.
Hapo mboga inakuwa imebonyezewa kwenye kibakuli juu ya ugali. hakuna cha mboga za majani wala tunda baada ya kula. Mpango mzima jagi la maji...
 
Back
Top Bottom