Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Mleta mada umeongea vema. Akina dada wengi wanaudhi sana wanapojiweka kibandia bandia. Nafikiri hawa viumbe wanasumbuliwa na tatizo la akili ndogo, wanashindwa kujiamini matokeo yake wanakuwa kituko mitaani,!

Badilikeni kinadada! Jitahidini kutambua kuwa ninyi mliumbwa mkiwa na urembo wa kutosha kabisa. Ridhikeni na jinsi mlivyoumbwa, msijaribu kumkosoa Mungu Mwenyezi.
Asante, ujumbe umewafikia japo hawataki kukubali ukweli.
 
Nikwel 100% kunasiku nilikeleka sana tena sana nimeamka asubh nikavaa fresh shart langu jeupe nzr sana ilikuwa siku ya j3 naenda zangu ofsini siku hyo nilaamu kupanda Daladala kilichonikuta shart upande wa mabegani limejaa hyo midude yao wanayo yapaka usoni na mudomoni nilichukia sana yaani na nimekuja kujuwa nimefika ofsini binti ambaye nimfanyakazi mwenzangu ananiambia hzi lipstick na enjoface umezitoa wap kugeuka kujiangalia sikutamani tena kuendelea kuvaa hyo shart
 
Wadada watakuwa wakali sana hapa lakini ni bora mngechukua ushauri hapa. Jamaa kawaambia ukweli kabisa. Mnapendeza mkiwa natural na nakshi za kawaida ila sio hayo majitu. Mnatisha kwakweli
 
Ushamba unewatawala dada zetu,kweli wanekua vituko sana unakutana na mdada mpk unaogopa kuwangalia usoni. Shindweni na mlegee hilo pepo la aibu toka,toka,toka,hutoki,toka,toka. Kwenda baharuni lione sura yake. Potea
 
Wadada watakuwa wakali sana hapa lakini ni bora mngechukua ushauri hapa. Jamaa kawaambia ukweli kabisa. Mnapendeza mkiwa natural na nakshi za kawaida ila sio hayo majitu. Mnatisha kwakweli
Haitasaidia m
Wabadirike ndiyo solution
 
Hii dunia ina kila dizaini ya watu... Wafuate unaowapenda na wengune waachie wenzako... Kuna wanaopenda wanawake wa hivyo
Mkutano mkuu wa wanaume malijari tumepinga ilo labda kama unaongelea wakina james
 
Tena wambie ata watangazaji wa azam tv kila mtu kajichubua adi yule dada anaetangaza soka wamekua feki wote wananikera
 
Back
Top Bottom