Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Mama Samia, Mama Janeth Magufuli, Mama Asha Migiro, Mama Salma Kikwete, Mama Ana Mkapa, Anne Makinda , Regina Lowasa, Mrs. Mbowe, Profesa Ana Tibaijuka, Dr.Tulia, Anne Kilango, Jacqline Mengi, na wanawake wengine wote wanaojiamini wanajipenda lakini hawachukizi so simple and admired.

Sasa uje kwa siye certificate na la saba halafu mabwana zetu ndo hao wa kuungaunga maisha yao ni kila mtindo utawekwa mwilini iwe, kucha, nywele, nguo , wanja ,lipstic n.k sababu ni kutokujiamini na kutaka jamiii iwatambue kuwa fulani nae yupo haaaa sorry lakini kama kuna mtu nitamkwaza.

Lakini hiyo ni kutokana na Msomi wa Saikolojia "Maslow" ' luck of self esteem' kutokujikubali/kujiamini.
 
cee1d799c41ec1d27417d0cd1dc8ed6d.jpg
 
Wengine hupendeza kweli...na wengine waalaaaa....kwa mfano mimi na wanja kwanza sijazoea naweza kuta imesambaa uso mzima....lipstics ndo kabisa hainipendezi jamani... ina watu na watu...wengine wana lazimisha tu.
 
Ukiwa unatokea Gezaulole urembo uliozoea kkuona kwa wadada ni mafuta ya nazi na nywele twende kilioni
But sky imekuwa too much kwakweli basi msizidishe sana hayo makorokoro na muangalie namna ya kipekee itakayowafanya mpendeze.
 
Back
Top Bottom