Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Wadada wala hampendezi zaidi mnakuwa vituko

Me cpend wigi
b22210331172723c5f849ec368a5eb88.jpg
Mkuu wangekuwa wote jamii hii bora nikae peke yangu
 
Kwanini mada nyingi ni za kushambulia dada zetu? Kwanini isifike mahala tukatambua mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku? Hivi mwanaume rijali unaanzaje kumsema mwanamke kuhusu wanja au makeup yake??
Yapo ya kukaa kimya c kwa ulimbukeni huu,ww unaependezwa busara pita zako haiwezekani tuishi na viumbe wakishaoga unajiuliza katokea wapi.
 
Yapo ya kukaa kimya c kwa ulimbukeni huu,ww unaependezwa busara pita zako haiwezekani tuishi na viumbe wakishaoga unajiuliza katokea wapi.
Umenena vyema mkuu, acha tuseme huenda wakapona
 
Jamaa ana point kabisa, hakuna urembo hapo ni ulimbukeni tu....it is a turn off a to majority of us...maurembo ni inferiority complex
Akaloby basi viwanda vya make up vifungwe
 
Ukiwa unatokea Gezaulole urembo uliozoea kkuona kwa wadada ni mafuta ya nazi na nywele twende kilioni
Ki ukweli wanaume tuliowengi hatupendi maurembo yaliyozidi, tunawaheshimu tu.
 
Itakuwa umeombwa pesa ya saloon na huna povu unatumakizia sisi huku.
 
Itakuwa umeombwa pesa ya saloon na huna povu unatumakizia sisi huku.
Haya ni mawazo yako tu mkuu, sina hata girl friend labda kama wewe utanikubali niwe wako wa milele
 
Kwanini mada nyingi ni za kushambulia dada zetu? Kwanini isifike mahala tukatambua mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku? Hivi mwanaume rijali unaanzaje kumsema mwanamke kuhusu wanja au makeup yake??
Washangae wanaume wenzio wnabeba moyoni yasiyowahusu mpaka wanapata magonjwa ya moyo
 
Lakini mkiwa barabarani shingo feni kwa waliopendeza
Na hapo ndipo mnapokosea kwa kuhisi kila akushangaae basi umependeza wengine wanageuka kwa hofu huyu binadamu au zombie,wengine tunawaza mbali tuyaonayo katika filamu ya the walking dead kumbe yapo.
 
Mleta mada umeongea vema. Akina dada wengi wanaudhi sana wanapojiweka kibandia bandia. Nafikiri hawa viumbe wanasumbuliwa na tatizo la akili ndogo, wanashindwa kujiamini matokeo yake wanakuwa kituko mitaani,!

Badilikeni kinadada! Jitahidini kutambua kuwa ninyi mliumbwa mkiwa na urembo wa kutosha kabisa. Ridhikeni na jinsi mlivyoumbwa, msijaribu kumkosoa Mungu Mwenyezi.
 
Yapo ya kukaa kimya c kwa ulimbukeni huu,ww unaependezwa busara pita zako haiwezekani tuishi na viumbe wakishaoga unajiuliza katokea wapi.
Umekutana nao wapi hao wanawake wanaojisiliba hivyo hebu tujuze... Maana me siwaonagi mtaani zaidi ya mtandaoni kama hivi..
 
Back
Top Bottom