Nimecheka sana mkuu, mimi ninatumia lakini moja kwa uchache kwa make up kila mweziHaya ni mawazo yako tu mkuu, sina hata girl friend labda kama wewe utanikubali niwe wako wa milele
Mkuu..mbona uliaga lakini? Umesahau nn tena huku jamii forumsUkiwa unatokea Gezaulole urembo uliozoea kkuona kwa wadada ni mafuta ya nazi na nywele twende kilioni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemaliza kila kitu big upNa hapo ndipo mnapokosea kwa kuhisi kila akushangaae basi umependeza wengine wanageuka kwa hofu huyu binadamu au zombie,wengine tunawaza mbali tuyaonayo katika filamu ya the walking dead kumbe yapo.
Ni hapa tu ambapo nina access ya kuchat na Bill Gate sikuligundua hilo mapema mkuu.BILambao ninpost: 21347052 said:Mkuu..mbona uliaga lakini? Umesahau nn tena huku jamii forums
Nimemrudisha. Tarajia kumwona hapa hadi kufa kwako mkuu.Mkuu..mbona uliaga lakini? Umesahau nn tena huku jamii forums
Ni hapa tu ambapo ninai access ya kuchat na Bill Gate sikuligundua hilo mapema mkuu.
Hahaa,kwema lkn mkuuNi hapa tu ambapo nina access ya kuchat na Bill Gate sikuligundua hilo mapema mkuu.
Wanja wa hivyo unaitwa "sina mume"Pia kuna hili la kupaka wanja kwa kupania.Utakuta mdada mdogo anabandika li-wanja pana kama ugomvi..kero!
Shida ni pale domo jekundu af bado mtu analazmisha dendaLeo naomba niwaambie ukweli wanadada.
Unakuta mdada kajipaka malips stick mekundu ...ukimuangalia domo jekunduuuu utadhani mchawi katoka kula nyama za watu.
Mimacho kaipaka mirangi yaajabu usipo muangalia vizuri unaweza kutimua mbio ukadhani umekutana na jini.
Mara mvae makope ya bandia looh! utadhani midoli ya kuuzia nguo.
Mbaya zaid unakutana na mwanamke kapaka usoni sijui ma angleface sura inakuwa kama maiti inaagwa ndani ya jeneza.
Niwaambie ukweli hampendizi zaidi mnakuwa vituko tu barabarani.
Acheni kuiga kila kitu
Umeandika kitu kikubwa sana Mkuu, Inferiority Complex.Jamaa ana point kabisa, hakuna urembo hapo ni ulimbukeni tu....it is a turn off a to majority of us...maurembo ni inferiority complex
Madhara yake ni Makubwa sana.Kweli kabsaaa...alaf ile lipstick inaenda wapi kama sio tumboni?
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, hata awe profesa, utakuta anapaka usoni haya madude pamoja na kuvaa nywele feki!