MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
Sasa unataka tuwe na wanaume class 7 jamani..??
Hii ni nature,mwanamke automatically unavutiwa na 'security' na power ya ur man,..ndo mana zamani walikuwa wanaua hadi simba na kufanya kazi ngumu just to impress the ladies,HUOI hadi u-prove ur the man na u can take care of her kisawasawa,sikuhz mbona mna afadhali,punguzeni kutulaumu jmn...TS NATURALLY LIKE THAT,mwanaume umeumbwa kuhangaika japo ckuiz women nao tumo kwenye shuguli za kiuchumi
Mweee nimekuelewaje dada