Wadada wa kitanzania mnatuabisha wanaume weusi...

Wadada wa kitanzania mnatuabisha wanaume weusi...

Sioni cha ajabu hapa. karne ya 21 hii uchumba unatafutwa popote. Kwa umri wake bado yuko young in western years, kwa wabongo utasikia kachelewa kuolewa.
 
For JF.jpg
Haya wana jukwa hili!!Kazi ni kwenu!
 
Tatizo wengi mnatumia hisia zaidi ya kufikiria ukweli inavyoonekana huyo dada ni matawi na baada ya kukosa wa kufanana naye ndo mana ameamua hivyo
 
Back
Top Bottom