Huyo dada aliyevaa nguo nyekundu anaitwa PENDO before alikuwa anafanya kazi MILLENIUM TOWERS kabla ya kushiriki MISS TANZANIA anakaa Kijitonyama sijui kama atakuwa amehama mara ya mwisho nilimuona Rose Garden alikuwa amekaa na akina Kinje, Lau Masha na wadada wengine