Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Kesho asubuhi uje na kuku wa bluu na sharubu za simba utibiwe sawa ?
ha ha ha! Hivyo vigumu kupata bwana.
Labda nije na ushuzi wa jogoo.
Kesho asubuhi uje na kuku wa bluu na sharubu za simba utibiwe sawa ?
mfano mzuri wewe mwenyewe, wamekupa thanks 36, wewe umetoa 19 tu.
napenda kugongewa thanks.
napenda kugongewa thanks.
Ukipenda thanks na wewe utoe basi jaman si unaona ulizopewa na wewe ulizotoa??? jitahidi mwana
Nitakuwa nakugonga basi mara kwa mara hadi usikie raha!
Hus ntakupa wewe wewe umpelekee!naiona talaka yako inavyopepea.
naona kesho nikanunue champagne happy days may finally be here.Hus ntakupa wewe wewe umpelekee!
naona kesho nikanunue champagne happy days may finally be here.
Hus ntakupa wewe wewe umpelekee!
Nilikuja kwa kasi neno Kugonga lina maana nyingi! Kwa herini
kugongwa na chombo au na kiungo?
Usiku mwema nafikiri umeiona hiyo japo hujaturudishia na sisi thanks ndio maana hatukupigi thanks muone kwanza lol
bye usiku mwema wana jf wote
Wakuu,
Sijui kama ni mimi tu au na ninyi yanawapata,
utafiti wangu unaonyesha wadada wengi wa hapa jf ni wagumu sana wa kugonga thankx kwenye thread zinazopostiwa na mimi hapa jamvini, uwa najiuliza:-
Nina gundu?
Sina mvuto?
Nawakandia sana?
Napost pumba?
Aaah wadada nigongeeni thanks na mimi niote kitambiiiii.....!!
napenda kugongewa thanks.