Wadada wa jf wagumu na sana kugonga thankx.

Usiku mwema nafikiri umeiona hiyo japo hujaturudishia na sisi thanks ndio maana hatukupigi thanks muone kwanza lol
bye usiku mwema wana jf wote
 
Usiku mwema nafikiri umeiona hiyo japo hujaturudishia na sisi thanks ndio maana hatukupigi thanks muone kwanza lol
bye usiku mwema wana jf wote


bado mapema gaga subiri subiri kidogo....
 
Wakuu,
Sijui kama ni mimi tu au na ninyi yanawapata,
utafiti wangu unaonyesha wadada wengi wa hapa jf ni wagumu sana wa kugonga thankx kwenye thread zinazopostiwa na mimi hapa jamvini, uwa najiuliza:-
Nina gundu?
Sina mvuto?
Nawakandia sana?
Napost pumba?
Aaah wadada nigongeeni thanks na mimi niote kitambiiiii.....!!

hahaha una mvuto sana thanx utapata kuna lingine? :hand:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom