Ukipewa namba na mwanamke wa JF kuwa makini sana, ukizubaa unaliwa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Kwema wana JF,

Leo sina maneno mengi ila nipo hapa kuwaasa mabaharia wenzangu kuwa wanawake wengi wa JF ni butu sana na wanapiga mizinga vibaya mno.

Ndugu ukitongoza mwanamke wa JF anakuvuta taratibu na akiona kama umeshaiva mithili ya nyama choma utasikia nashida ya shilingi 3000, 5000, 7000 au shilingi 10000 umsaidie anakurudishia muda sio mrefu.

Ewe mwanaume ukijichanganya hakuna rangi utaacha kuona na hakuna mziki utapigwa uache kuucheza.

Tahadhari wale penda penda kama mimi na wale baharia wenzangu tusiochagua mahali pakuogelea nawaombeni sana muwe makini mno.

Wanawake wa JF hizi salamu pia ziwafikie na muache kutuona wajinga na PM hatutaacha kuja ila mjue wazi kabisa tuna akili na sasa hivi hakuna mwanaume mjinga mjinga wote tumekua wajanja sana.

Hiyo mbinu yenu ya kujifanya mnatupenda na kutujali tumeijua.
 
Kuna Mmoja nilikuwa nawasiliana nae na ni maarufu sana hapa JF na kwenye Avatar naonekana amesuka na komwe lake mwenyewe na mweupe kweli kweli, akawa ananitumia picha za sura tu lakini picha mwili mzima nikimuomba analeta blah blah,Aiseee ile nimekutana nae nilitaka kumkataa ila ndo hivyo nikaona nitamuaibisha!,Najuta sana yule mwanamke kupanda kwenye BMW yangu kiukweli sikupenda,niwe tu mkweli!.

1. Alikuwa amechoka kishenzi
2.Alikuwa amevimba Juu lakini chini ni kama Mjusi
3.Alikuwa kavaa wigi na vikuu miguuni na miwani mikubwa utadhani alikuwa amekuja kutazama kupatwa kwa jua.
4. Alikuwa na Mtindi mkubwa kupita kiasi
5.Yaani nilivyomuona tu kwa macho ni hakika alikuwa ameungua.

Nilimpigisha sana starehe siku hiyo nikamuachia na Kibunda kisha nikaondoka nikamwambia nina haraka tungeendelea kuwasiliana,baada ya hapo nilimblock ila naona sikuhizi ananifungulia nyuzi za kunitukana kijanja kana kwamba anatoa ushauri kumbe yeye ndo mbovu!.
 
Back
Top Bottom