Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
Thnx Pure noma. Happy holidays, Inshaallah
hivi hamna jukwaa la watoto na washamba humu?
Una maana gani?
Nani boga nani ua?
Me AD ndio ''dah ''We Acha tu!
Duduwasha nakusalimu my dear ...
Sijambo my Dear Afrodenzi...
Huwa nakuwaza kila wakati Do Something pls.
Ningependa zaidi kuonja Mapishi Yako nimetizama Jukwaa la Mapishi Nimevutiwa zaidi Nawe My DearNashukuru kusikia hujambo dear..
What would you like me to do ??
Nashukuru kusikia hujambo dear..
What would you like me to do ??
Sijambo my Dear Afrodenzi... Huwa nakuwaza kila wakati Do Something pls.
Ningependa zaidi kuonja Mapishi Yako nimetizama Jukwaa la Mapishi Nimevutiwa zaidi Nawe My Dear
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?
Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!
Nikiishi na wewe My Dear Lazima niwe Bonge baada ya Miezi Miwili tu mhhh!! hapa sasa Bado nipo kwa Job nishaanza kuhisi Njaa yum yum yum.....hahahahahhah lol
Niambie utakacho mi niko tayari ku karangiza... usjali .
Hope you like roast .....
Hivi "ID ya JF" inaweza kukufahamisha "Jinsia ya member"?
Kwa taarifa yako "FaizaFoxy" na "Smile" ni "Wanaume" wa shoka na "Mwali" ni ki-sharobaro fulani!