Wadada wa barber shop...mh...

Hata wale mabaunsa wa pale uchumi wana tabia hiyo hiyo ya kuomba omba hela, wanaudhi kweli hawa jamaa..miili mikumbwa , misuli ya kufa mtu lkn akili hawana

Maboucer wengi ni ngangari poa
 
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-tunashawishika.html?highlight=massage+wadada
 
Wale wa pale Morocco madada wanakushika dudu bila ridhaa yako bana!
Lkn inafurahisha sana nikajivunga kama sikufurahishwa sababu nilikuwa na shemeji!
Nikarudi pekee yangu kesho yake ehehehehe
Mkuu...dah, umenifurahisha sana kwa hilo. Pale hakuna kwenda na mswitie, nenda peke yako ukaenjoy touch za totoz.
 
hapo mwanaume inabid uende umevaa zile boxer zinazobana vinjnevyo watakushangaa baada ya huduma unasmama mzee yuko upright
 
Barber shop sku izi zimekuwa vituo vya kuuzia kina dada haswa kinondoni...Unapewa huduma zote.

Kuna sehemu fulani ya massage unaulizwa mpk kuulizwa unataka na mbunye? ukivunga unafanyiwa mtu kachojoa vyote, hii ni haki kweli?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…