Wadada wa barber shop...mh...


Ni huduma gani iyo nyingine wanayotoa? Maana wengine saloon zetu ni chini ya miti tena kwa kitana kioo unashika nwenyewe! Na usisahau ukimaliza kunyolewa lazima upate na panadol kwaajili ya kupoza maumivu ya kichwa! Mkuu funguka izo huduma zingine..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We inabidi nkupitie twende wote, hayo maswali yatajibiwa hukohuko na wahusika
 
sisi huku uswazi hakunaga cha wadada sijui wa skrabu wala nini...ukienda saloon unanyoa ...unachapa lapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…