watakua wanakuchukia sana mkuu, na hakuna atakaye taka kukuosha.Ni full mizoga wale madada na wanaboa mwanzo mwisho ndo maana mimi huwa sioshi au kuscrub nk. Nikishanyoa tu nalipa fasta natoka nduki huku nikisindikizwa na misonyo sauti ya kwanza yenye stereo kaliii....!
Acha ubinafsi miss chagga, kizuri kula na nduguyo. Afu cha nyumbani hakinogi sababu sio illegal
Wale hawabinafsishi ila wanatumia kwa muda tu, wala hawapigi simu utaenda mwenyewe