Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Natafuta pesa si ndo mnavosema ha hanhaanini shida mbona ulipotea hivi
ata Daby alimuona nikamuuliza Daby akaniambia sio manga mbona manga yupo
Ni kweli nipo ila ndo sigandi kama hivi
Huyo sijui kavutikaje nayo dah ananipa kazi ya kubadili
Ntavaa suti kama Daby sasa