Nawe nae kumbe ni walewale tu,Usije ukawapotosha watu, kila mwanaume kuna kitu anapenda na usifikir kuolewa had uwe vizur kwenye bed, kuna vigezo ving ikiwepo tabia, na kwenye bed ata kama hajui atamfundisha ,so unataka kusema MTU usiinjoy penz kisa utaulizwa ulijulia wap haya na umejifunzia wap, wakat kwenye mitandao kuna stail kibao za kujifunza, makabila mengine akivunja ungo anafundishwa namna yakumridhisha mume kwa bed nakumtunza nakujitunza yy, mwanaume mwingine ukiwa slow kwa bed hawez kuvumilia na hatokuambia, mahusiano au kuolewa hakuna formula, formula ni umempata mwanaume yup na anataka nn kwako, na mmepanga nn juu ya mahusiano yenu
HAUOLEWI NG'O