Wadada tuwahurumie hawa wanaume

Wadada tuwahurumie hawa wanaume

Mi nimeelewa kwamba, mleta uzi anamiliki ndinga nyeusi...

Ni mchuchu fulani white hivi, anapiga pamba kama katoka unyamwezini...

Halafu atakuwa manzi wa R kama sio Moshi...

Mwisho, jukwaa la piemu litakuwa bize baada ya uzi huu...

Sijaelewa msaada wakueleweshwa pulliiizzzz! !

Cc Smart911
 
Mi nimeelewa kwamba, mleta uzi anamiliki ndinga nyeusi...

Ni mchuchu fulani white hivi, anapiga pamba kama katoka unyamwezini...

Halafu atakuwa manzi wa R kama sio Moshi...

Mwisho, jukwaa la piemu litakuwa bize baada ya uzi huu...

ndo huyo kwa foto? hongera yake kumiliki gari aisee. .. huko poa fursa hizo jamani

Cc Smart911
 
mabazazi yashajaa piemu ngoja niahirishe hyo njia kutakuwa na Jam

Mwendo ni ule ule nanunua sluts tena safari hii nikienda Thai. Haya mambo ya emotional attachment siyawezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom