Wadada tusilazimishe ndoa

Wadada tusilazimishe ndoa

Swali lako kwa mazingira haya tunayochanganyikana na warembo kutoka kila mkoa na wa aina tofauti tofauti naweza kusema ni la mtego na nikilijibu vibaya litanicost. SIJAOA MIMI.


Ila mbona unajua bhna au unataka tu kuniexpose hapa?
Player
 
Ndoa ni Kitu kingine kabisaa, sio suala la kumlazimisha mtu. Kumbuka huyo unaejilazimisha kwake utaishi nae miaka yako yote ilobaki, sasa kama hakupendi mtaishije humo ndani????
Hii tabia wanayo wadada wengi kwa kweli hasa wakiona kijana ana uwezo. Tunasahau kuwa ndoa ni zaidi ya mali. Hili linapelekea ndoa nyingi kukosa mwelekeo sababu mmoja wao hakuwa tayari.

Jamaniiii, ndoa huwa hailazimishwi kabisaa. Ukilazimisha madhara yake ni makubwa mnoo, inawaathiri hata watoto wasio kua na hatia.
Tubadilike kama ndoa yako ipo ipo tuuu
kweli kabisa pacha wadada wengi hawajui tu kuhusu swala la ndoa
 
Haka kausemi cha "MWANAUME ANA KAZI NZURI TU" huwa sikaelewi elewi, eti wakina dada, uzuri wa kazi ndio kipimo cha upendo ama???😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Haka kausemi cha "MWANAUME ANA KAZI NZURI TU" huwa sikaelewi elewi, eti wakina dada, uzuri wa kazi ndio kipimo cha upendo ama???😀😀😀😀😀😀😀😀
sio kipimo cha upendo kipimo cha kuishi maisha mazuri wanavyosema wenyewe et
 
sio kipimo cha upendo kipimo cha kuishi maisha mazuri wanavyosema wenyewe et
Kumbe! kwa hiyo kazi ingekuwa si nzuri jamaa asingesumbuliwa na nyimbo za ndoa kila siku.😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom