Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
mamboLakini God is watching you
Wala usimsikilize huyu player ...bora nimkane kabla hajanikana

we jamaa ni kichecheeSikudhania yatakuwa haya.![]()
![]()
yani ungekuwa karibu ningeku hug... kwa kusema ukweliWala usimsikilize huyu player ...bora nimkane kabla hajanikana![]()
hahahahahahWala usimsikilize huyu player ...bora nimkane kabla hajanikana![]()
gumu wakati kavaa dera.. si uliniambia kuwa huwa unalinyanyua tu juu afu kazi kaziSwali gumu
Tehtehwe jamaa ni kichechee
ha ha aa... wadada wanaogopa sa ii, na mimi nitaendelea kuharibu kama kawa hahahaTehteh
Tusipokutana peponi tutakutana jehanamu wewe endelea kufanya haya unayoyafanya.ha ha aa... wadada wanaogopa sa ii, na mimi nitaendelea kuharibu kama kawa hahaha
hapa kuna cha kujifunza sanaKuna akuolewa na wamatumizi wale wa vichupichupi na chura kubwa maringo, kogo i phone 7, kuku na heinken ni wamatumizi alafu wale wanaokujulia hali ukiugua wanaokushawishi ufuate njia ya Mungu (allah) wanaokushauri maendeleo ndio akina mama wenye nyumba, wamatumizi ndoa mtaziskia redion
Poamambo
Hahahhyani ungekuwa karibu ningeku hug... kwa kusema ukweli
mmh baba paroko kwani mm sina busara sadaka nikiwa nayo nitatoa tu we nivumilie hivi kuja bila sadakaMwanakondoo wangu ohh mahubiri yangu pale kanisani yamekujenge sana mpaka umekua na maneno ya busara na hekima upo juu, ila ongeza kasi ya kutoa sadaka hapo tu ndiyo unapo haribu.