Wadada tusilazimishe ndoa

japo siyo mjua vitu sana lkni ieleweke tu kuwa ndoa ni muunganiko wa hiari uliokusudiwa wa kudumu neno kubwa ni muunganiko wa hiari bila kulazimishwa na mtu yyte kwa hyo ni sawao kumwambia hvyo mpenzi wake lkni yy ana uhiari????
 
Mimi tuahidiana kioana tukazaa na mtoto , akaja kuishi kwangu kisa tumezaa alipo nizoea akaonesha makucha yake nilipo gundua tabia zake nikamwambia ndoa namimi basi akarudi kwao .
..Fafanua zaidi mkuu,..kunakitu umekificha hapo,..
 
Shunie dada langu hebu uje upate Robertson moja
Inahitaji mwanamke mwenye upeo wa hali ya juu sana kufikiria kwamba ataolewa wakati wa Mungu ukifika kwa sababu hata huo wakati wa MUNGU hajui unahitaji kanuni gani kuungoja.Vile vile simlaumu dada wala kaka anayelazimisha ndoa sababu watu hawajui nini hasa neno ndoa linamaanisha,ndoa ni zaidi ya taasisi,haihitaji tu kujipanga kiuchumi ila na kiakili pia.
 
Ndoa za kulazimishana hazina maisha marefu!!!
Cha ajabu ata wakaka wanalazimisha kuoa. Utampa kila sababu ya kutotaka akuoe lakini wapi!!!
 
Aisee kuja na wewe upate Wine
 
Na ukipata mimba si ticket ya ndoa .. muhimu fanya yanayokuhusu basi
yaani huwa sipendi ndoa inakuaje kwani ananipangia mimi lini ntamuoa jamani. sometime inaboa na inakata stimu ya mahusiano. usikute hujapendwa ila umependwa umtolee mwenzako mikosi au anataka kusafisha nyota kuwa aliolewa.
 
ni baadi ya wadada hawaelewi tu
 
wengine ukijishikisha mimba unazaa na anakubakisha singo madha.. vipi sasa mbona hujanitafuta? mpunga wako upo... nakungoja si unajua nnavyopenda kavu kavu na kulamba lamba
npio kweye mazoezi ya keggle kufanya iwe ndogo ndiyo niilete
 
Ndoa za kulazimishana hazina maisha marefu!!!
Cha ajabu ata wakaka wanalazimisha kuoa. Utampa kila sababu ya kutotaka akuoe lakini wapi!!!
kama anakupenda atakuambia utadeka kisa mdogo na 7bu zako labda unao wengi unachuja au inamtumia kama starehe sasa ngoja ije ifike wewe mtu umetongozwa leo tu kesho unaulizia umeoa kama bado una mpango gani.
 
Kuna sababu nyingi sana za kukataa kuolewa na mtu! Na zingine ni sababu nzuri tu na muhimu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…