Wadada tusiendekeze mapenzi...chagua kua number moja!

PLL

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
882
Reaction score
400
Habari zenu wana MMU..ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema mimi sijambo kabisa sifa zimuendee alie juu.
Jamani leo naomba nitoe dukuduku langu moyoni kwa wanawake wenzangu,sisi wadada (sio wote)tunapenda sana kuendekeza mapenzi hasa kwa wale tunaowaita first lover...utakuta mtu ana mahusiano na mtu mwingine tena anampenda na kumjali sana lakini yeye akili zote zipo kwa yule amwitae first lover angali first lover mwenyewe yupo busy na ampendae kule,matokeo yake mwanaume akijua unampenda sana na uko tayari kua nae wakati wowote atakao kuhitaji anaanza kukutumia,pale anapokua na ugomvi na ampendae ndo unapokumbukwa na wewe ukiona umetafutwa basi unafurahi bila kuwaza kama wewe ni option.
Yaani mtu unashindwa hata kushtuka kua unatumika na hata haupendwi ila wewe upo tu na unakua tayari hata kwenda kulipia room ukakae na huyo jamaa,kwakweli me naona huu ni utumwa wa mapenzi,matokeo yake umekaa na huyo jamaa yeye amnamuongelea mke wake tu yaani akili zake hata hazipo kwako,yani hata kukudanganya kua anakupenda hawezi,binafsi napenda kua number moja jamani yani hata kama ana cheat huko lakini anacheat kwa uoga akihofu atanipoteza endapo nikijua,kweli it feels good kua number one,sio mwanaume haogopi hata ukimkuta na kademu hapo.
Wadada wenzangu jamani hata kama huyo mtu unampenda kiasi gani ukishaona yeye moyo wke haupo kwako tafadhali jitoe hapo taratibuu kabisa kabla haujalia na nafsi yako siku za mbeleni,thats the reason i dont buy dating married man maana najua ntakua number mbili kama sio tatu kabisa...
Ushauri wa bure wadada wenzangu tusiendekeze mapenzi usimng'ang'anie mtu asie kupenda utaishi maisha mabaya sana.
Ni ushauri tu jamani si lazima kuufuata kwahiyo kama unapenda kuendelea kua number two we endelea tu binafsi hell no,i love being number ONE
 
Aisee inaonesha unaongea kutokana na uzoefu.

Ni ushauri mzuri lakini!
 
Hhahaha no comment dadangu

Usijali, mara nyingi huwa tunatumia kuwashauri wengine kujishauri sisi vitu vinavyotusumbua; nimeitumia mara nyingi sana hii trick and it works. LOL
 
Habari zenu wana MMU..ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema mimi sijambo kabisa sifa zimuendee alie juu.
Jamani leo naomba nitoe dukuduku langu moyoni kwa wanawake wenzangu,sisi wadada (sio wote)tunapenda sana kuendekeza mapenzi hasa kwa wale tunaowaita first lover...utakuta mtu ana mahusiano na mtu mwingine tena anampenda na kumjali sana lakini yeye akili zote zipo kwa yule amwitae first lover angali first lover mwenyewe yupo busy na ampendae kule,matokeo yake mwanaume akijua unampenda sana na uko tayari kua nae wakati wowote atakao kuhitaji anaanza kukutumia,pale anapokua na ugomvi na ampendae ndo unapokumbukwa na wewe ukiona umetafutwa basi unafurahi bila kuwaza kama wewe ni option.
Yaani mtu unashindwa hata kushtuka kua unatumika na hata haupendwi ila wewe upo tu na unakua tayari hata kwenda kulipia room ukakae na huyo jamaa,kwakweli me naona huu ni utumwa wa mapenzi,matokeo yake umekaa na huyo jamaa yeye amnamuongelea mke wake tu yaani akili zake hata hazipo kwako,yani hata kukudanganya kua anakupenda hawezi,binafsi napenda kua number moja jamani yani hata kama ana cheat huko lakini anacheat kwa uoga akihofu atanipoteza endapo nikijua,kweli it feels good kua number one,sio mwanaume haogopi hata ukimkuta na kademu hapo.
Wadada wenzangu jamani hata kama huyo mtu unampenda kiasi gani ukishaona yeye moyo wke haupo kwako tafadhali jitoe hapo taratibuu kabisa kabla haujalia na nafsi yako siku za mbeleni,thats the reason i dont buy dating married man maana najua ntakua number mbili kama sio tatu kabisa...
Ushauri wa bure wadada wenzangu tusiendekeze mapenzi usimng'ang'anie mtu asie kupenda utaishi maisha mabaya sana.
Ni ushauri tu jamani si lazima kuufuata kwahiyo kama unapenda kuendelea kua number two we endelea tu binafsi hell no,i love being number ONE

HII naona haituhusu wake za watu! maana hata sie wenyewe tunatoka na waume za watu sio eti kwa mapenzi na wala hao waume za watu sio namba moja kwetu!

kwangu hata sielewi maana ya mtu kuwa eti namba moja, so what if u think ur number one?

mumeo nitalala nae nikijisikia tu! ishu ya kuwa sijui namba moja au mbili hazihusu, kwani tupo shule ya msingi sie!

eti tutafute kuwa nambari moja lol! kwani tuko kwenye mshindano?

kwa taarifa yako, watu wengine tunatoka na waume za watu kwa starehe za wakati huo tu, hata akiongelea wife wake muda wote ndo kwanza namfariji.

Tena kama ungekuwa namba moja asingekuongelea nje, angeficha maugomvi yenu.

pole yako bado hujajikomboa na hawa wanaume eh!
 
ayandaaaaaaaa........

charminglady niambie

mademu wengine bwana, eti wanatafuta kuwa number one, sijui wanadhani kuna tuzo za ndoa ama vipi!

yaani badala ya watu kuangalia mambo ya msingi ya life na familia wao wanawaza kuwa NUMBER ONE!

Yaani huyu dada namuonea huruma sana, anadhani yeye ni namba one kisa yupo ndani, bora angejiridhikia tu kwamba ana ndoa yake na kuendelea na michongo mingine ya maisha! SASA MUME ANAYEKUONGELEA KWA MAHAWARA ZAKE, NI MUME HUYO AMA BASI TU KWA VILE NDO NDOA, UNAPOTEZEA UNAANGALIA MBELE.

Nambari one kwenye mapenzi hakunaga.

ah hebu ngoja niendelee na kazi hapa
 
HII naona haituhusu wake za watu! maana hata sie wenyewe tunatoka na waume za watu sio eti kwa mapenzi na wala hao waume za watu sio namba moja kwetu!

kwangu hata sielewi maana ya mtu kuwa eti namba moja, so what if u think ur number one?

mumeo nitalala nae nikijisikia tu! ishu ya kuwa sijui namba moja au mbili hazihusu, kwani tupo shule ya msingi sie!

eti tutafute kuwa nambari moja lol! kwani tuko kwenye mshindano?

kwa taarifa yako, watu wengine tunatoka na waume za watu kwa starehe za wakati huo tu, hata akiongelea wife wake muda wote ndo kwanza namfariji.

Tena kama ungekuwa namba moja asingekuongelea nje, angeficha maugomvi yenu.

pole yako bado hujajikomboa na hawa wanaume eh!

Easy woman easy...
number moja haigombaniwi mama...by the way huu ni ushauri tena huu haukuhusu maana haukulenga wanawake wanaogongwa nje ya ndoa zao
 
Habari zenu wana MMU..ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema mimi sijambo kabisa sifa zimuendee alie juu.
Jamani leo naomba nitoe dukuduku langu moyoni kwa wanawake wenzangu,sisi wadada (sio wote)tunapenda sana kuendekeza mapenzi hasa kwa wale tunaowaita first lover...utakuta mtu ana mahusiano na mtu mwingine tena anampenda na kumjali sana lakini yeye akili zote zipo kwa yule amwitae first lover angali first lover mwenyewe yupo busy na ampendae kule,matokeo yake mwanaume akijua unampenda sana na uko tayari kua nae wakati wowote atakao kuhitaji anaanza kukutumia,pale anapokua na ugomvi na ampendae ndo unapokumbukwa na wewe ukiona umetafutwa basi unafurahi bila kuwaza kama wewe ni option.
Yaani mtu unashindwa hata kushtuka kua unatumika na hata haupendwi ila wewe upo tu na unakua tayari hata kwenda kulipia room ukakae na huyo jamaa,kwakweli me naona huu ni utumwa wa mapenzi,matokeo yake umekaa na huyo jamaa yeye amnamuongelea mke wake tu yaani akili zake hata hazipo kwako,yani hata kukudanganya kua anakupenda hawezi,binafsi napenda kua number moja jamani yani hata kama ana cheat huko lakini anacheat kwa uoga akihofu atanipoteza endapo nikijua,kweli it feels good kua number one,sio mwanaume haogopi hata ukimkuta na kademu hapo.
Wadada wenzangu jamani hata kama huyo mtu unampenda kiasi gani ukishaona yeye moyo wke haupo kwako tafadhali jitoe hapo taratibuu kabisa kabla haujalia na nafsi yako siku za mbeleni,thats the reason i dont buy dating married man maana najua ntakua number mbili kama sio tatu kabisa...
Ushauri wa bure wadada wenzangu tusiendekeze mapenzi usimng'ang'anie mtu asie kupenda utaishi maisha mabaya sana.
Ni ushauri tu jamani si lazima kuufuata kwahiyo kama unapenda kuendelea kua number two we endelea tu binafsi hell no,i love being number ONE

Wewe sema tatizo lako acha kukopesakopesa!
 
Easy woman easy...
number moja haigombaniwi mama...by the way huu ni ushauri tena huu haukuhusu maana haukulenga wanawake wanaogongwa nje ya ndoa zao

hahhhhaaaaaaaaa

pole, unadhani waume zenu wanapenda single ladies?

wanatupenda sie wake za watu shostito!

we kalagabhao tu hapo, ungekuwa namba one angekuchamba nje?

wewe ni just WIFE tulizana!

eti namba moja haigombewi, sasa unachofanya wewe ni nini kama sio kugombea?

hahahha inanihusu sana besti, tena waume wenye wake wakali kama wewe ndo watamu balaa!
 
kweli kuwa optional ni kitu kibaya...bora uwe peke yako
 
  • Thanks
Reactions: PLL
Jamani wanawake wengine wanapenda waume za watu na wanadai kuwa waume za watu ni watamu. Siku hizi watu hawaangalii namba wanaangalia utamu tuuu!
 
Hawaangalii utamu wanaangalia maslahi tu...ila wasikudanganye roho zinawauma wakati mwingine maana huyo mume wa mtu hauwi nae wakati wote,kidogo tu baby nlimpeleka wife hospital,mara ohh nliwapeleka watoto beach...lazima karoho kaume na katu mwanaume anaejitambua na mke make ni number one hawezi kukubali uharibu ndoa yake,utabaki kua ka option tu...and that is so touching
 
kweli kuwa optional ni kitu kibaya...bora uwe peke yako

Word bora kua single ujue tu uko single,sio unatatizo mtu hata aoneshi ushirikiano ila akiwa anataka mchezo simu na sms utavipata kila saa
 
Back
Top Bottom