Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,071
Aibu sana😁😁😁😁😁Na yeye atataka Halafu mbaya zaidi Hana matumizi nayo na hajui inatumika vipi.
Unakuta anakurundikia matatizo hatua za awali tuu za kufahamiana mpaka utajiuliza sasa huyu alikuwa anaishije hapo kabla hatujafahamiana😁😁😅