Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,597
- 29,580
😂😂😂😂😂Nikiwa narudi nitapita pale shoppers nikuletee chocolate, najua hakutakuwa na kesi tena.
Baba ukimjua mwana😅
Hapa baba atafanya makosa kila siku yale ya makusudi, utamuagiza kalamu za kuchorea atajifanya amesahau, baada ya week analeta box zima na choco, case solved..!!