David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,518
- 8,241
Ahahhaaaa nakuona mzee wa makeboMwamba ameshayaaga mashindano BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO
Mmmh pole yake!
Pokea Rose flower popote ulipo!Wanaume kamwe hamuwez bila ss tupewe maua yetu jaman
Hatuwezi nini?Wanaume kamwe hamuwez bila ss tupewe maua yetu jaman
😃😃Ndio maana kwenye nyuzi zake za kujifanya demu anatumia sana maneno sisi wadada, sisi wanawake
Pole sana mkuu.Wazazi tuhurumiwe na kuombewa sana, kijana wako ulimlea kuwa mwanaume kamili anakuja na pigo za "wadada tupewe maua yetu?"
Mkuu, kumbe huyu alikuwa me?Wazazi tuhurumiwe na kuombewa sana, kijana wako ulimlea kuwa mwanaume kamili anakuja na pigo za "wadada tupewe maua yetu?"
Naam sheikh!Mkuu, kumbe huyu alikuwa me?
Wanaume kamwe hamuwez bila ss tupewe maua yetu jaman
😂😂Yote hii ni stress ya kujikana mwenyewe!
Unajiona mwanamke lakini ukikumbuka una makende unaishiwa pawa.
Huyu Broo kwa ule utamu wa mwanamke unaamua kabisa kuuacha na kuwa shoga?Mleta uzi kazi unayo.
Shoga yang wasemaje?Hawawezi bila nyie kivipi?
🤣Yote hii ni stress ya kujikana mwenyewe!
Unajiona mwanamke lakini ukikumbuka una makende unaishiwa pawa.