Wadada taratibu jamani

Wadada taratibu jamani

Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa kabla ya tendo la ndoa kinakausha maji ukeni na kuongeza joto la hatari.huondolewa baada ya mda na kinaweza kutumika hata mpaka miezi sita.yote hiyo ni katika kuhakikisha wanapagawisha wanaume!

wengine wanatumia kitu inaitwa SHABU ili aonekane mwali(hajatumika) akiwa na mwanaume wake! ndo wale wanajifanya wewe ndio first to none!

Wengine hutumia mchanganyiko wa viungo kama asali,majani ya mbaazi na binzari nyembamba! kisha wanatumbukiza kwenye papuchi,Hataree.

Tatizo lililopo hawajari kama wanaweza pata magonjwa kama saratani n.k na kuleta janga kwa ndugu zao,wapenzi wao na Taifa! wadada taratibu.ukipendwa umependwa tu.mimi nikigundua unafanya ujinga huo nakumwaga fasta.sipendi mbunye artificial mazafanta.
nawaasa wadada jambo hilo walichukulie kama somo.wasilidharau kwa sababu halikutolewa hospitali au na mtaalam wa afya.
 
Sasa wafanyeje kama nyie hamueleweki unataka ukute mnato, kama ya mtoto ukiondoka hutunzi huudumii unmpa vishawishi mwenzio vya kutumika ovyo hadi inaelekea papu litanuke,lijae maji Hio ndo njia mbadala kwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom