Wadada taratibu jamani

Wadada taratibu jamani

unanikumbusha binti moja wa same kilimanjaro. Binti alinidanganya kuwa hajaanza na ndio kwanza anataka nimuanze.

siku niliyokutana nayo nilitamani nilie. hakukuwa birika wala bikira na kumbe alikuwa na mtoto tayari. alichokifanya nikuitengeneza kwa SHABU bila kujua kuwa shabu huweka ugumu mlangoni na sio ndani ya K. lakini aliponipa historia ya maisha yake nilijikuta nikimpenda zaidi na mpaka sasa ni mwanajeshi mwenye cheo cha Luteni
 
Kuna kitu inaitwa madura stick nayo kazi yake kubana K,women jmn hapana aisee,afu unakuta una mtu anachepuka regardless ur efforts
 
Hahahaha umenifanya nicheke,tell me, vipi wewe dear what do you do to make aman stay and love you indeed...... No artificial made ama...

Haaaa mie sina lolote nifanyalo
Hata vidole kuingiza hairuhusiwi sembuse sijui bangi, vistick si hatareee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom