Wadada taratibu jamani

Wadada taratibu jamani

Sasa wafanyeje kama nyie hamueleweki unataka ukute mnato, kama ya mtoto ukiondoka hutunzi huudumii unmpa vishawishi mwenzio vya kutumika ovyo hadi inaelekea papu litanuke,lijae maji Hio ndo njia mbadala kwao
wanawake.kama wanaume hamridhiki hata upewe ng'ombe na maini utachepuka tu.
 
wanawake.kama wanaume hamridhiki hata upewe ng'ombe na maini utachepuka tu.
Hakuna kitu kama hicho mbona sie tumetulia na watu zetu kwakua tutakacho tunapewa sumu ya mwanamke matunzo
 
wanawake za watu ndio wanaongoza kumegwa.wala usiwatetee
Kama anaondoka anaacha 3000 hakuna mkaa,unga,mboga,viungo, unataka asichepuke hata Mimi ningekuja sihudumiwi aaaaa ningemchepukia hadi angejuta
 
Kama anaondoka anaacha 3000 hakuna mkaa,unga,mboga,viungo, unataka asichepuke hata Mimi ningekuja sihudumiwi aaaaa ningemchepukia hadi angejuta
wapo wengine wanakila kitu lkn wanamegwa na masela kitaani
 
Haya mambo yamefika huku? Mbona bila hivyo vyote bado K ni tamu sana ?
 
aiseeee nina watafuta kweli kweli mashangingi wa namna hiyo sijui nitawapata upandd gani hapa Dar
 
aiseeee nina watafuta kweli kweli mashangingi wa namna hiyo sijui nitawapata upandd gani hapa Dar
hutafaidi mkuu! kila ukiweka mambo unaingia nyavuni gooli moja bila........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom