Wadada taratibu jamani

Wadada taratibu jamani

wanaume mna raha jamani! wanawake watoto wa wanaume wenzenu hawalali kisa kuwawazia nyie. Na nyie mpakage basi lau kapilipili kwa mbali kuongeza ladha, badala ya kuwaachia wanawake tu wajiongeze. Halafu muwe mnaonyesha shukrani. Wanawake wamefika huko kwenye kuunga papuchi baada ya juhudi zingine kama kujichubua, kujinenepesha, kujikondesha na kuongeza makalio kugonga mwamba. Mnataka lakini nyie??
 
Vaa condom isiwashwe na binzari wengine wanaweka mpaka pilipili manga.
Teh teh teh wanaweka pilipili mkuu si mbunye itawashwa sana.....mkuu tuwafundishe wake zetu kamasutra sio viungo
 
Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa kabla ya tendo la ndoa kinakausha maji ukeni na kuongeza joto la hatari.huondolewa baada ya mda na kinaweza kutumika hata mpaka miezi sita.yote hiyo ni katika kuhakikisha wanapagawisha wanaume!

wengine wanatumia kitu inaitwa SHABU ili aonekane mwali(hajatumika) akiwa na mwanaume wake! ndo wale wanajifanya wewe ndio first to none!

Wengine hutumia mchanganyiko wa viungo kama asali,majani ya mbaazi na binzari nyembamba! kisha wanatumbukiza kwenye papuchi,Hataree.

Tatizo lililopo hawajari kama wanaweza pata magonjwa kama saratani n.k na kuleta janga kwa ndugu zao,wapenzi wao na Taifa! wadada taratibu.ukipendwa umependwa tu.mimi nikigundua unafanya ujinga huo nakumwaga fasta.sipendi mbunye artificial mazafanta.
duuh nimejua sasa kwanini.........!! juzi hapa nilipata bi dada ambaye muda alinisumbua sana kwa umri wake na mashine yake ilivyo jibu nimelipata , maana nilibaki najiuliza tu...... kondom zangu tatu zooote zilipasuka kwa mbinyo wa uchi wake, nyambafuuu zake atakuwa amekarabati kabla ya kunipa hilo tumbua lake.
 
ng'ombe hazeeki maini mkuu
 
wanaume mna raha jamani! wanawake watoto wa wanaume wenzenu hawalali kisa kuwawazia nyie. Na nyie mpakage basi lau kapilipili kwa mbali kuongeza ladha, badala ya kuwaachia wanawake tu wajiongeze. Halafu muwe mnaonyesha shukrani. Wanawake wamefika huko kwenye kuunga papuchi baada ya juhudi zingine kama kujichubua, kujinenepesha, kujikondesha na kuongeza makalio kugonga mwamba. Mnataka lakini nyie??
ndio maana wanadai malipo wakikupa.angalau nusu hasara wapate
 
duuh nimejua sasa kwanini.........!! juzi hapa nilipata bi dada ambaye muda alinisumbua sana kwa umri wake na mashine yake ilivyo jibu nimelipata , maana nilibaki najiuliza tu...... kondom zangu tatu zooote zilipasuka kwa mbinyo wa uchi wake, nyambafuuu zake atakuwa amekarabati kabla ya kunipa hilo tumbua lake.
unamhukumu tu. inawezekana misuli yake haijafanya mazoezi siku nyingi kwa hiyo imekaza au ndo maumbile yake ya asili. maumbile ya wanawake yanatofautiana kama yalivyo ya wanaume.
 
Hapo sio misuri! akili imemfanya aamini kuwa alikolezwa! dk sifuri yuko nyavuni kitu tight kama vise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom