BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,760
- 3,270
- Thread starter
- #21
hii ni habari ya mujini.kama huijui imekula kwako! wenzio wamejiongeza katika ubunifu......binafsi.sifagilii mambo kaa hizo ndio maana nawachana hapa.Hahahahah hapo mwisho nimecheka!!!!,. ila chenye mwanzo kina mwisho mkuu,. alaf hii kitu ndo naipata kwako leo, vip umekutana nayo na kwa wa wangap???? lazm kuwe na kaushahd hapo,, au we ndo unaviuza hvo vitu na unawateja weng?????,.
