PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Niaje wakuu
Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake maybe yuko insta snap au whatsapp hata ukimsalimia hakuitikii sijui ndo mashauzi au ulimbukeni
Halafu unakuta binti analalamika cjui nimelogwa kwanini sipati mwanaume wa kunioa hivi mnafikiri wanaume wakuoa wanapatikana insta au whatsapp wanaume wa kuoa ndio hao mnaopishana nao kila siku kwenye daladala na mizunguko ya kila aina halafu mnajifanya mko bize na masimu yenu