Wadada smartphone ndio sitakazokuja kuwaoa

Niaje wakuu
Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake may be yuko insta snap au whatsapp hata ukimsalimia hakuitikii sijui ndo mashauzi au ulimbukeni alafu unakuta binti analalamika cjui nimelogwa kwanini sipati mwanaume wa kunioa hivi mnafikiri wanaume wakuoa wanapatika insta au wasup wanaume wa kuoa ndo hao mnaopishana nao kila siku kwenye daladala na mizunguko ya kila alafu mnajifanya mko bize na masimu yenu
 
Attachments

  • FB_IMG_1498318656879.jpg
    FB_IMG_1498318656879.jpg
    37.3 KB · Views: 30
Naipenda simu yangu maana Hainisaliti wala kuniumiza, unaeza ukawa na imani na mtu haijalishi wa kiume au wa kike....Basi nakuwa busy na simu yangu na Mambo Mengine ambayo Hayaniumizi Kama Vile Mpira!
 
Kwenye hii issue hata mijanaume ipo...unakuta Man anachati njia nzima 3km on phone!? Ndiyo mana Galz wanasema nowdays Gentlemen wameisha mwanaume unachat pembeni ya rami hadi linataka kuangukia kwenye mtaro...aisee upuuzi huu
 
Ila wadada wamezidi
 
Naipenda simu yangu maana Hainisaliti wala kuniumiza, unaeza ukawa na imani na mtu haijalishi wa kiume au wa kike....Basi nakuwa busy na simu yangu na Mambo Mengine ambayo Hayaniumizi Kama Vile Mpira!
Heee
 
Mmh. Maisha haya, yaani umeamua kuumiza kichwa kwa mambo wanayoyafanya watu kwa kupenda kwao.

Achana nao we wasalimie wasio na smartphone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom