Wadada smartphone ndio sitakazokuja kuwaoa

Wadada smartphone ndio sitakazokuja kuwaoa

hahahahahaahah, hapo sasa umkute "ntu" ndio kavaa na yale madude ya masikioni hadi gari ndio zinamkwepa kama akiwa anatembea kwa miguu
 
Punguza munkari mkuu, siku hizi si wanaume si wanawake wote wapo busy na simu!! Halafu kwani kuolewa lazima.

Hadi hapo inaonesha we ni nungaembe
Umeshindikana mtaani hadi kanisani
 
wanawake wakishafika miaka 30 wanaanza kusema mtumishi niombee nahitaji mchumba wanashindwa kuelewa wanaume wa kuwaoa ni hawahawa wanaowaona , life begins at zero usipende mwenye maisha bora inapendeza mkaanza na kijana mwenzako kuzisaka mkifanikwa mnakua na history. ni hayo tuu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Niaje wakuu
Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake maybe yuko insta snap au whatsapp hata ukimsalimia hakuitikii sijui ndo mashauzi au ulimbukeni

Halafu unakuta binti analalamika cjui nimelogwa kwanini sipati mwanaume wa kunioa hivi mnafikiri wanaume wakuoa wanapatikana insta au whatsapp wanaume wa kuoa ndio hao mnaopishana nao kila siku kwenye daladala na mizunguko ya kila aina halafu mnajifanya mko bize na masimu yenu
wakifika 30+ wanakuja kutafuta mume humu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Waeleze mkuu.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Ni dunia nzima sio Tanzania tu.
Hii mfumo upo na utaendelea kuwepo.
Hata ukilalama haitosaidia cha msingi ni kuwa na mipaka ya matumizi ya simu.

ila kiukweli mm sijaona ubaya mfano mm unakuta nafanya kazi masaa 10 muda wote huo ninakuwa sijashika simu na wakati nikishamaliza kazi zangu ni muda wa kwenda nyymbani naona ni fursa nzuri kuchati kwenye simu whatsapp, insta, jamii forum, twitter, linked in, pinterest. Halafu anatolea mtu kama wewe eti anauliza mbona uko bize na simu k.u.m.a.n.y.o.k.o. tunaelewana tu siku hiyo. Simu yangu mimi halafu ukasirike wewe.
Kila mtu na maisha yake hapa mjini.
Sio kila anaye shika simu anachati wengine wanaingiza hela na wanaangalia akaunti za hela. Forex trading mobile system.
 
Hizi simu sio kabisa..pamoja na kwamba zinasaidia kuwaleta karibu watu tulio mbali nao, lakin ni ukwel kwamba zinasababisha kuwasogeza mbali watu tulio nao karibu.

yani unakuta mtu mpo wote lakin yupo bize na simu hadi anakusahau asee..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom