Wadada sasa yatosha...

Wadada sasa yatosha...

Hahaha! Mkuu! Wewe vibwengo umeviona wapi??umeniamsha ujue.aagh wanawake waliojichubua wanafanana na kitimoto!!

Wanaofanya wanawake wajichubue ni hawa wanaume, wao kuwa hivyo ni end result ya wanaume kuwaona ni wazuri zaidi ya black color

"peli mwana ifupa agwenyaje"
 
IMG-20140205-WA0004.jpg
Hatuachi ngo'o
 
Afadhali... Afu sijui nani huyo aliewaloga kuwa wakiwa weupe ndio wanavutia!!!!!
Kutokujiamini na kuamini weupe ndo rangi ya mwanamke.....kuna siku nilikuwa mabibo kuna bidada akawa Anawaambia wenzake sasa hivi nimeanza kuwa Mweupe nang'aa....akamalizia mwanamke ukiwa mweupe ndo Unavutia zaidi kama yeye alivyo sasa......yani nilimsikitikia tu yule dada...
 
Wanaume watu wa ajabu sana hapa mkorogo unapondwa lkn tukichunguza wake zao na gelofrend zao ndo hao kiti moto inayosemwa hapa.
 
Inawezekana pia ni kutojitambua. Rangi labla kwa akina Muraa na Wawejha sana ndio nasikia hadi leo mtu mweupe ng'ombe wanalipwa wa kutosha. Si unaona hata baadhi ya wanaume wanapaka carolight wang'ae... utadhani wale wakongo wa FM Academia.

Kutokujiamini na kuamini weupe ndo rangi ya mwanamke.....kuna siku nilikuwa mabibo kuna bidada akawa Anawaambia wenzake sasa hivi nimeanza kuwa Mweupe nang'aa....akamalizia mwanamke ukiwa mweupe ndo Unavutia zaidi kama yeye alivyo sasa......yani nilimsikitikia tu yule dada...
 
wanajidanganya eti uzuri ni weupe tu...kazi wanayo...(mweh ila nanyi wanaume BAADHI yenu mnapagawaga na taipu hiyo)
 
Jeez!!!!!!
hivi nani kawadanganya lakini!!!!
Si nyie nyie. ..tusipojipodoa tatizo. .tukijipodoa shida. .tukibaki natural washamba. .tukiweka kiasi hatujiamini. .lol mutuwache
 
Si nyie nyie. ..tusipojipodoa tatizo. .tukijipodoa shida. .tukibaki natural washamba. .tukiweka kiasi hatujiamini. .lol mutuwache

hivi na papuchi mnaichubua?
 
Back
Top Bottom